Habari za Punde

Hujuma za kuharibiwa mali na watu wasiojulikana zamkumba mkaazi wa Chonga, Pemba


 Miongoni mwa Kuku ambao ni mali ya Hasnuu Moh'd Hassan, walionyongwa na watu wasiojuilikana huko katika Bonde la Chogooni , Chonga Pemba.
 Baadhi ya Migomba ya Hasnuu Moh'd Hassan, ambayo imekatwa na Watu wasiojulikana huko katika Bonde la Chogooni -Chonga Pemba.
 Hasnuu Moh'd Hassan wa Chonga Wilaya ya Chake Chake Pemba, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya kufanyiwa hujuma za mali zake.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya hujuma zinazofanywa na watu wasiojulikana kwa wananchi wenzao .

Picha na Hanifa Salim Moh'd -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.