Habari za Punde

Kisomo cha Dua ya Arubani ya Marehemu Mze Aboud Jumbe Mwinyi Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar.


Sheikh Mohammed Kassim akihitimisha  dua ya kumuombea Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. 

Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soroga akitowa mawaidha wakati wa hafla hiyo ya kisoma cha dua kumuombea Rais wa Pili wa Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar.
Mtoto wa Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi Mustafa Aboud Jumbe akitowa neno la shukrani kwa Wananchi waliohudhuria kisoma cha kumuombea Dua Baba yake kilichofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar.
Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar akisoma dua baada ya kumaliza kusomwa kwa hitma ya kumuombea Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar., 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.