MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, October 18, 2016

Mkuu wa Wilaya ya kusini Unguja atembelea Manispaliti ya mji wa Sundsvall nchini Sweden


Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, Idrissa Kitwana ametembelea jengo la Manispaliti ya Sundsvall na kukaribishwa na bendera ya Zanzibar. 

Kwenye mkutano na viongozi wa Manispaliti Mkuu wa Wilaya ameelezewa jinsi Manispaliti inavyofanya kazi zake kutoa huduma kwa wananchi.