Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) Jamila Mahmoud akitoa elimu kwa wanafunzi wa darasa la walemavu wa akili liliopo Skuli ya Jang’ombe juu ya kuelewa viashiria vya udhalilishaji wa kijinsia.
Baadhi ya walemavu wa akili wa Skuli ya Jang’ombe wakionyesha kazi walizofanya wakati wa mafunzo yaliyotolewa na Viongozi wa ZAFELA kuhusu kuelewa viashiria vya udhalilishaji wa kijinsia.
Mratibu wa ZAFELA Saada Salum Issa akifuatilia kazi walizowapa walemavu wa akili wa Skuli ya Jang’obe wakati walipofika kutoa elimu ya kutambua viashiria vya udhalilishaji wa kijinsia.
No comments:
Post a Comment