Habari za Punde

Semina juu ya juu ya muongozo wa masuala ya ajira yafanyika kisiwani Pemba

 AFISA Uchambuzi kazi kutoka Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, Lulu Sheikh Abdul-Rahman akiwasilisha mada sehemu ya kwanza, ya muongozo kuhusu masuala ya ajira kwa maofisa wadhamini wa ofisi za serikali na maofisa watumishi, yaliofanyika Kiwanda cha makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MAOFISA wadhamini na Maofish Utumishiwa taasisi za umma Pemba, wakifuatilia mada kadhaa kwenye mafunzo ya kikazi, juu ya muongozo wa masuala ya ajira, yalioandaliwa na Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar na kufanyika Kiwanda cha Mkonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MAOFISA wadhamini na Maofisa Utumishiwa taasisi za umma Pemba, wakifuatilia mada kadhaa kwenye mafunzo ya kikazi, juu ya muongozo wa masuala la ya ajira, yalioandaliwa na Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar na kufanyika Kiwanda cha Mkonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MAOFISA wadhamini na Maofisa Utumishiwa taasisi za umma Pemba, wakifuatilia mada kadhaa kwenye mafunzo ya kikazi, juu ya muongozo wa masuala la ya ajira, yalioandaliwa na Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar na kufanyika Kiwanda cha Mkonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).


 AFISA Uchambuzi Kazi kutoka Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, Gharib Khamis Mustafa akiwasilisha muongozo wa ajira, kwa maofisa wadhamini na maofisa utumishi, kwenye mkutano wa kikazi, uliofanyika Kiwanda cha Mkonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa mkoa wa kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akifungua mkutano wa kikazi kwa maofisa wadhamini na maofisa utumishi, juu ya muongozo wa ajira mkutano huo ulifanyika Kiwanda cha makonyo Wawi Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mdhamini wizara ya nchi afisi ya rais, Katiba sheria, utumishi wa umma na utawala bora Pemba, Massoud Ali Mohamed akifuatiwa na Katib Tawala mkoa wa kusini Pemba, Ahmed Khalid wakifuatilia mada kadhaa, juu ya muongozo wa ajira, kwenye mkutano uliofanyika Kiwanda cha makonyo WawI Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.