Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za ZSSF za Mkopo Nafuu Chukwani Zanzibar.


Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi Nafuu kwa Wananchi wa Zanzibar unaojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii yakiendelea na Ujenzi wake jumla ya majengo matano yakiwa katika hatua za mwisho ya ujenzi huo kati ya magorofa 18 yanayojengwa na ZSSF katika maeneo ya Chukwani Zanzibar, Kama yanavyoonekana pichani yakiwa katika hatua ya umaliziaji wa ujenzi huo. kwa awamu ya kwanza ya mradi huo.


Mafundi wa Kampuni ya ujenzi wa majengo hayo wakiendelea na ujenzi huo.






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.