Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) Brigedia Jenerali Martin Amos Kemwaga, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusiana na mashindano ya vikosi vya ulinzi na usalama Tanzania itakayoanza kesho mjini Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) wakimsikiliza Mwenyekiti wao Brigedia Jenerali Martin Kemwaga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) Brigedia Jenerali Martin Amos Kemwaga uliofanyika ukumbi wa mikutano katika uwanja wa Amani.
No comments:
Post a Comment