Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Dkt.Magufuli Afunga Semina ya Watendaji na Wenyeviti wa Wilaya na Mikoa Mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma leo Machi 14, 2017.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.