Miongoni mwa Vijana wa CCM wa Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika sherehe za kubabidhiwa vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu vitakavyofanikisha mashindano ya Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi na kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (hayupo pichani) katika ukumbi wa Fidel Castro wilaya ya Chake chake Pemba leo,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Mkoani Pemba CCM pia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia) vifaa vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Ziwani Suleiman Makame Ali (kulia) vifaa vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,[Picha na Ikulu.]
RAIS wa zanzibra na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi vifaa vya michezo Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba, Kassim Mbarouk, hafala hiyo iliyofanyika katika skuli ya Fidel Castro Vitongozi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kikombe kwa ajili ya Mashindano Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kasikazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe:DK Ali Mohamed Shein, akimkabidhi vifaa vya michezo Mwakilishi wa jimbo la Mkoani, Mhe:MManga Mjengo Mjawiri, hafala iliyofanyika katika skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment