Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Indonesia Kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa (IORA) Akimuwakilisha Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto aliyeandaliwa kwa ajili ya kumvisha shada la maua baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Indonesia alikokuwa akihudhuria mkutano wa kwanza wa Nchi za Indian Ocean  (IORA). Akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindhini Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa IORA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindhini Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa IORA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindhini Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa IORA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindhini Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa IORA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar baada ya kuwasili Zanzibar akitokea Nchini Indonesia  kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa IORA kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman wakiwa katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Zanzibar akitokea Nchini Indinesia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na Mkutano wa Kwanza wa Nchi za Indian Ocean IORA ,uliofanyika nchini Indonesia. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumzia mafanikio ya mkutano huo, baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar jioni hii leo tarehe 9-3-2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.