Habari za Punde

Taasisi ya JKCI Kuanza Upasuaji wa Kupandikiza Moyo

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu toka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dkt. Bashir Nyangasa (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea mafanikio ya taasisi hiyo toka ianzishwe, kulia ni Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo toka taasisi hiyo Dkt. Tulizo Shemu na kushoto ni Msemaji wa taasisi hiyo Anna Nkinda.
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo toka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dkt. Tulizo Shemu akielezea mafanikio ya taasisi hiyo toka ianzishwe kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Msemaji wa taasisi hiyo Anna Nkinda.

Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.