Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Awasili Nchi Djibout Kwa Ziara ya Kiserikali.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein, akisalimiana wafanyakazi wa Ofisi  ya Ubalozi wa Ethiopia mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini Humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,(Picha na Ikulu) 6 Mei 2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.