Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi Ya Rais Ikulu Mhe Issi Haji Gavu Akisoma Hutuba ya Bajeti ya Wizara Yake.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Gavu akisoma Bajeti ya Wizara yake wakati wa Mkutano wa Sita wa Baraza la Wawakilishi wakati wa kuwasilisha Bajeti za Wizara za SMZ. katika Mkutano huo wa Baraza unaofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Waziri Issa Haji Gavu akiwasilisha Hutuba ya Bajeti ya Wizara Yake kwa Wajumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwakilishi wa Nafasi za Kuteuliwa kutoka Chama cha TADEA  Mhe. Juma Ali Khatib akifuatilia hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe Issa Haji Gavu. kwa wajumbe wa Baraza. 
Wajumbe wa Wawakilishi wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi Rais, wa kwanza Mhe Miraji Khamis Mussa Jimbo la Chumbuni na Mhe. Rashid Makame Shamsi, wakifuatilia hutuba hiyo. wakiwa katika ukumbi wa baraza chukwani Zanzibar.   
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo wakifuatilia hutuba hiyo ya Bajeti.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibasr Mhe Shamata Shaame Khamis wa Jimbo la Micheweni na Mhe. Shadya Mohammed Said nafasi za Wanawake wakifuatilia hutuba hiyo. 
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akifuatilia hutuba hiyo ya Bajeti na Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Pemba Mhe Suleiman Sarahani Said.  
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.