Habari za Punde

Wajumbe wa Baraza Wapata Elimu ya Kipindupindu.

Afisa wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Mr.Marko Msambazi akitowa elimu ya Kipindupindu kwa Wajumbe wa Baraza akiwasilisha Mada hiyo kuhusiana na matumizi mabaya ya maji kwa wananchi,elimu hiyo imetolewa kwa kufikisha kwa wananchi wa majimbo yao kuzingatia matumizi ya maji safi na salama kwa jamii semina hiyo imefanyika katika ukumbi mdogo wa baraza chukwani Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.