Habari za Punde

Matukio ya Picha Mitaani Zenj leo.

Wachuuzi wa Samaki katika marikiti Kuu ya Darajani Zanzibar akiwa na samaki aina ya jodari wakijiandaa kumpima kuweza kujuwa uzito wake na kupata uzito wake na kupata uzito wake akiwa na kilo 39, katika mnada huo kilo moja ya samaki huyo imeuzwa shilingi 9000/= kwa kilo moja kwa wachuuzi wadigo katika marikiti hiyo ya samaki na kipande kimoja kiliuzwa kuazia shilingi 2000/= 

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.