Habari za Punde

TIGO Yapata Tuzo ya Kipengele Cha Mawasiliano Katika Maonesho ya Sabasaba Dar.

Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.