Habari za Punde

Mradi wa Ufungaji Camera za CCTV ukiendelea katika Mitaa ya Mji Mkongwe Zanzibar

Mafundi wa Mradi wa ufungaji wa Camera za CCTV katika mitaa mbalimbali katika Mji Mkongwe wa Zanzibar wakiendelea na zoezi hilo la ufungaji wa camera hizo katika moja ya mtaa wa mji mkongwe shangani Unguja kama walivyokutwa katika mtaa huo wakiwa katika harakati za ufungaji wake ili kuimarisha hali ya mazingira ya usalama katika mitaa hiyo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.