DIWANI wa
wadi ya Ngwachani Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, Salum Makame Juma,
akifungua mkutano wa wazi, wa kutoa masaada wa kisheria kwa wananchi wa shehia
ya Ukutini, mkutano huo uliandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC
tawi la Pemba
AFISA Mipango
wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba Khalfan Amour
Mohamed, akijibu mawasli ya wananchi wa shehia ya Ukutini, juu ya haki ya
umiliki wa ardhi, wakati watendaji wa Kituo hicho walipofika shehiani humo,
kuwapa msaada wa sheria wananchi hao
WATENDAJI wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi
la Pemba, kulia ni Afisa Mipango wa Kituo hicho Siti Habibu Mohamed na kushoto
ni Mratibu wa Kituo hicho, Fatma Khamis Hemed, wakisoma moja ya majarida,
yanayochapishwa na Kituo hicho, kabla ya kuanza mkutano wa kutoa msaada wa
kisheria kwa wananchi wa shehia ya Ukutini Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani
Pemba
WANANCHI wa
shehia ya Ukutini Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, wakifuatilia mkutano
wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
WANANCHI wa
shehia ya Ukutini Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, wakifuatilia mkutano
wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
MWANANCHI wa shehia ya Ukutini Jimbo la Chambani wilaya ya
Mkoani Pemba, Asia Saleh Salim, akiomba ufafanuzi nini afanye iwapo atabaini
mwanawe ameshabakwa na hakuwashuhudia,
kwenye mkutano wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
WANANCHI wa
shehia ya Ukutini Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, wakifuatilia mkutano
wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
WANANCHI wa
shehia ya Ukutini Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, wakifuatilia mkutano
wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
AFISA Mipango
wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Siti Habibu Mohamed,
akigawa machapisho yanayotayarishwa na ZLSC, kwa wananchi wa shehia ya Ukutini
Jimbo la Chambani, mara baada ya kumalizika mkutano wa kutoa msaada wa kisheria
kwa wananchi hao, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
No comments:
Post a Comment