MSHAURI wa Makamu wa Rais Pemba, Amran Massoud Amran
akitoa ufafanuzi wakati wa mafunzo ya kukabiliana na maafa kwa watendaji wa
taasisi mbali mbali za Serikali Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
WATENDAJI wa Taasisi mbali mbali za serikali
Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa sheria ya kukabiliana
na maafa Zanzibar na kujuwa kila mtendaji jukumu laken katika sheria hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
MRATIBU wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Pemba,
Khamis Arazk akiwasilisha mada ya sheria ya kukabiliana na Maafa Zanzibar, kwa
watendaji wa taasisi za Serikali Pemba na kila mtendaji kujuwa jukumu lake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
WATENDAJI wa Taasisi mbali mbali za serikali
Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa sheria ya kukabiliana
na maafa Zanzibar na kujuwa kila mtendaji jukumu laken katika sheria hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment