Habari za Punde

MNAALIKWA PRESS CONFERENCE UKUMBI WA MAGEREZA KILIMANI SAA 7.00 LEO JUMATANO TAREHE 20.12.2017

 ATTENTION WAANDISHI WOTE

LEO TAREHE 20.12.2017 SAA 7.O0 MCHANA KUTAFANYIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI (PRESS CONFERENCE) KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MAGEREZA KILIMANI.  

MZUNGUMZAJI WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ.

WAANDISHI MNAALIKWA RASMI KUHUDHURIA, KUNASTORY KUBWA KWA MUJIBU WA TAARIFA TULIYOPOKEA KUTOKA KWA AFISA UHUSIANO WA WIZARA HIYO AFANDE HAJI MTUMWA.

IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI  MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.