Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.Ajumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Katika Sala ya Ijumaa Masjid Nunge Dodoma Mjini leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhajj Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumalisa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Mjini Dodoma na kutowa nasaha zake kwa waumini.
Wazee wa Masjid Nunge Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa mchana huu leo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhajj Ali Mohamed Shein,akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma. 
Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitowa nasaha zake kwa waumini hao baada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma Mjini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.