Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuanio ya Mapinduzi Cup 2018. Nahodha wa Timu ya Azam Himid Mao Mkami baada ya Timu yake kushinda katika mchezo wa Fainal ya michuano hiyo iliofika kilele usiku huo kwa kuifunga Timu ya URA kutoka Uganda kwa Penenti 4 -3. Na kukabidhiwa Kombe hilo kwa Mara ya Pili baada ya kulitetea vyema kwa mwaka huo.
MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wa Serikali
waondoe ukiritimba kwenye suala la upatikanaji wa habari ili kuwawezesha
wanahabari...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment