Habari za Punde

Usafiri wa uhakika visiwa vya Fundo na Kokota bado ni kitendawiliBADO suala la usafiri wa uhakika wa wananchi wa Kisiwa cha Fundo na Kokota Wilaya ya Wete, imekuwa ni kitendawili pichani wananchji wakiwa wamejazana katika moja ya vyombo vya usafiri wakitoka bandarini Wete kwenda Kisiwa cha Fundo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.