Habari za Punde

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma Afunga Bunge la Vijana Zanzibar.

 
NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Mgeni Hassan Juma, akimkabibidhi Cheti cha ushiriki wa Mbunge wa Bunge la Vijana kutoka Wilaya ya Kaskazini B Unguja Abdallah Hemed, wakati wa ufungaji wa Bunge hilo

MWENYEKITI wa Chama cha Mabunge Bunge la Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akizungumza wakati wa ufungaji wa Bunge hilo la Vijana Zanzibar kuadhimisha Siku ya Jumuiya ya Madola Duniani, lililofanyika katika Ukumbi wa Baraza Chukwani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.