AMIR
I wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar Sheikh. Suleiman Omar (Mwalimu
Sule) akisoma dua wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mashindano ya Kuhifadhi
Qur-An, juzuu 5,10 na 30 yaliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani
Zanzibar
KIONGOZI
wa Majaji Sheikh. Jabir Abeid Shamte akitowa maelezo kwa Washiriki wa
mashindano ya kuhifadhi Qur-an juzuu 5,10 na 30 kabla ya kuaza mashindano hayo
yaliofanyika katika msikiti wa Mchangani Zanzibar, akiwa na jopo la majaji.
WASHIRIKI
wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an wakifuatilia mashindano hayo yaliofanyika
katika msikiti wa mchangani Zanzibar na kuwashirikisha wanafunzi kutoka
Zanzibar
MSHIRIKI
wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Juzuu 5, Mwanafunzi Ahmeid Said Saleh
akishiriki katika mashindano hayo yaliofanyika katika Msikti wa Mchanani
Zanzibar
VIONGOZI
wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar na mgeni rasmin Mwalim Aliyani
wakifuatilia mashindano hayo wakati washiriki wakisoma Qur-an, yaliofanyika
katika msikiti wa mchangazi Zanzibar
MWANAFUNZI
Masoud Khamis Sultan akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an juzuu 30,
yaliofanyika katika msikiti wa mchangani Zanzibar
No comments:
Post a Comment