Habari za Punde

Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Waongoza Katika Zoezi la Kuchangia Damu Zanzibar Kwa Kupita Kiwango.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akimkabidhi Cheti cha Shukrani Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa Kuwa Balozi Mzuri wa kuhamasisha zoezi la Uchangiaji wa Damu Zanzibar, Hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani wakati wa Bonaza la Kuchangia Damu kwa Wilaya ya Mjini lililofanyika katika viwanja hivyo na kujitokeza Wananchi wengi katika zoezi hilo.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud kwa ushirikiano wake katika kuwahamasisha Wananchi katika zoezi la kuchangia Damu Zanzibar na kumtunuki Cheti cha Balozi wa Damu Salama Zanzibar. wakati wa hafla ya zoezi la kuchangia Damu lililofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar leo asubuhi.























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.