Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Mabalozi wa Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) wa Wilaya ya Micheweni katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba  leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumzanao leo  katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi

Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumzanao leo  katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.