Habari za Punde

Upandaji wa Majani Katika Uwanja wa Mpira wa Timu ya Wazee Sport Club Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Maisara

Kiwanja cha Mpira cha Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Zanzibar na Timu ya Taifa ijulikanayo kwa jina la Wazee Sport Club Zanzibar, hutumia kiwanja hicho kwa ajili ya kufanya mazoezi yao wakati wa jioni, wameamua katika kipindi hichi kukiboresha kwa kuweza kukiimarisha upya na kupanda maji ili kuwa katika kiwango cha kimataifa na viwanja vengine vya mpira Duniani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.