Habari za Punde

Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Yatoa Tahadhari ya Upepo Mkali

Tangazo: Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar, inawaomba wananchi wote kuchukua tahadhari juu ya upepo mkali na mawimbi makubwa ya bahari  yapatayo mita mbili yanayoweza kutokea katika maeneo mbalimbali ya visiwa vya Unguja na Pemba kuanzia siku ya Ijumaa tarehe 20 Julai hadi siku ya Jumatatu tarehe 23 Julai 2018. Tushirikiane kwa pamoja kupunguza athari za majanga yanayoweza kutokea.
[20/07, 06:45] ‪+255 777 419 231‬: Aidha, kamisheni inawaomba wananchi, kuepuka kukaa chini ya miti mirefu pamoja kuwa waangalifu juu ya matumizi ya vyombo vya uvuvi na usafiri baharini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.