Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe Hassan Khatib Hassan akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kitogani(Hawapo Pichani) wakati wa kutoa mkono wa shukrani kwa wanakijiji wa Kitogani kwa kutoa Ushirikiano baada ya kuamua kutoa maeneo yao ya makaazi kwa ajili ya kujengwa kiwanja cha Michezo. Kiwanja cha Kitogani ni moja ya viwanja ambavyo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Ali Mohamed Shein aliahidi wakati wa Kampeni ikiwa ni utekelezaji wa iIani ya Uchaguzi CCM kuhakikisha anawapatia wananchi maendeleo ikiwemo viwanja vya michezo.( Kulia) Katibu Mkuu Wizara Vijana, Utamaduni Sanaa na Michezo, Omar Hassan Omar
Habari : Serikali yasisitiza Usalama ,Mapato Mpakani Mutukula
-
Na Mwandishi Wetu,KAGERA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amehimiza ushirikiano
kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo ch...
2 hours ago

0 Comments