Habari za Punde

Vikundi Vya Ushirika Kisiwani Pemba Waadhimisha Siku ya Washirika Duniani.

Mkuu wa Wilaya ya Wete -Pemba, Abeid Juma Ali, akiwahutubia Wanachama wa Vyama vya Ushirika na Saccos Kisiwani Pemba, katika maadhimisho ya Siku ya Washirika Duniani iliofanyika katika ukumbi wa Samael Gombani Pemba.
Baadhi ya Wanaushirika na Saccos za Pemba, wakimskiliza Mkuu wa Wilaya
ya Wete, Abeid Juma Ali, wakati akitowa hotuba yake katika shamra
shamra za siku ya Washirika Duniani ilio fanyika  katika ukumbi wa
Samael Gombani Pemba.

Picha na Bakari Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.