Habari za Punde

ZANTEL YAKABIDHI MAGARI 2, PIKIPIKI 5 KWA WASHINDI WA ‘NI JERO YAKO’

 Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Baucha akikabidhi mfano wa funguo kwa mshindi wa gari, Zubeda Abdalla Ali (kushoto) mkazi wa Donge, Zanzibar baada ya kushinda gari maarufu Kama KIRIKUU kwenye promosheni ya Ni Hero Yako iliyoisha hivi karibuni.
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Baucha (kushoto) akiongea wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Ni Jero Yako Tu jana. Kulia ni Rukia Mtingwa, Meneja Mawasiliano wa Zantel Tanzania. Washindi wa gari, pikipiki na baiskeli kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.