Habari za Punde

Zoezi la Uhakiki wa Wafanyakazi Wastaaf Wanaopokelea Pensheni Zao Mfuko wa ZSSF Lafana Kwa Kujitokeza Kwa Wingi Makao Makuu ya ZSSF Kilimani Zanzibar.

 
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF wakiwa katika zoezi la kuhakiki Wanachama Wake wanaopokelea Mafao yao ya Pensheni kupitia ZSSF, likiendelea katika Makao Makuu ya ZSSF Kilimani Zanzibar na katika Matawi yake Kisiwani Pemba na Jijini Dar es Salaam, wanafanyia Uhakiki katika Ofisi ya Shughuli za SMZ ilioko Magogoni Jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.