Habari za Punde

MAJALIWA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akikagua gwaride maalum lililoandaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia upandishwaji wa bendera ya Umoja wa Mataifa katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na  Mratibu Mkaazi wa Mashirika ya  Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi wa  Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini,  Bw. Alvaro Rodrigues katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Siku  ya Umoja wa Mataifa  yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali hapa Tanzania  katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na  Mratibu Mkaazi wa Mashirika ya  Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi wa  Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini,  Bw. Alvaro Rodrigues katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2018. Kushoto ni Meya wa jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.