Habari za Punde

Mkurugenzi Mpya wa Benki ya CRDB Tanzania Nsekela Ajitambulisha Kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Tanzania Ndg. Abdulmajid Nsekela alipofika Ofisini kwake leo Magogoni Jijini Dara es Salaam.kwa mazungumzo.  
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,akizungumza na Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela, leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu mpya wa bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela, leo ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.