Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akiendelea na Ziara Yake Wilayani Siha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa hospitali ya Wilaya ya Siha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt. Andrew Method (kulia) wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa wodi ya mama na mtoto katika hospitali ya Wilaya ya Siha.
Pichani Hospitali ya Wilaya ya Siha inavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi wilayani Siha.Sehemu ya Wakazi wa Kijiji cha Matabi wilayani Siha wakiwa wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.