Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Maasifa wa Afya

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi funguo ya gari mshindi wa kwanza katika usafi Mkuu wa Wilaya ya Njiombe Ruth Msafiri, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi kofia na funguo ya pikipiki Kaimu Afisa Afya Halmashauri ya Meru Mkoa wa Arusha Elipokea Nassary  kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, jijini Dodoma 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mshauri wa maji na usafi wa mazingira kutoka Shirika la Kiholanzi la SNV Saul Mwandosya, wakati akikagua mabanda, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa choo cha gharama nafuu na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati akikagua mabanda, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Usafi wa Mazingira Shirika la Plan International Dodoma Rachel Stephen, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018, kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Mohammed Bakari, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalim
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, akizungumza na Maafisa Afya wa mikoa nchini, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Maafisa Afya wa mikoa nchini, wakati alipofungua rasmi mkutano huo kwenye ukumbi wa mipango jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Maafisa Afya wa mikoa nchini, wakati alipofungua rasmi mkutano huo kwenye ukumbi wa mipango jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.