Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Awapongeza Wabunge Walio Kulia Kiapo Bungeni.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Jimbo la Ukonga,CCM  Mhe.Mwita Waitara baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Viajana na Ajira Anthony Mavunde. wakati wa picha ya pamoja katika Viwanja vya Bunge na  Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa  Dodoma . leo Novemba 6/2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.