Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aendelea na Ziara Yake na Kuhutubia Mkutano wa Hadhara Lushoto.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa CCM  Sabasaba uliopo Lushoto,wakati wa ziara yake Mkoani Tanga. 
Wananchi wa Lushoto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa  hadhara kwenye uwanja wa CCM Sabasaba akiwa  katika ziara ya mkoa wa Tanga Oktoba 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.