Habari za Punde

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amani Salum Ali,Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar.

Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akisisitiza jambo wakati akijibu Maswali mbalimbali alioulizwa katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh  Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali  (katikati )akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheih Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh  Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akisisitiza jambo wakati akijibu Maswali mbalimbali alioulizwa katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh  Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo - Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.