Habari za Punde

Ziara ya Wajumbe wa Kamati wa Baraza la Wawakilishi Kusimamia Ofisi za Viongozi Kitaifa.Kisiwani Pemba.


KIONGOZI wa Kaya Masikini shehia ya Kinyikani Wilaya ya Wete, Salum Abeid Ussi akisoma taarifa ya walengwa wa Mapngo wa Kunusuru kaya masikini shehia ya Kinyikani, wakati wajumbe wa kamati ya kusimamia Ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa ilipotembelea walengwa wa kaya hiyo na kukagua ujenzi wa barabara ya Kinyikani iliyojengwa na walengwa husika.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed, akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa Pemba, wakati walipotembelea mradi wakaya masikini shehia ya Kinyikani Wilaya ya Wete
WAJUMBE wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakiongozwa na waziri wa nchi Ofisi aya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed, wakiangalia moja ya Daraja lililojengwa na Kaya masikini shehia ya Kinyikani, wakati wapotembelea kaya hiyo huko Kinyikani(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.