Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Dk.Edmund Mndolwa, akifungwa kiskafu na Kijana wa Chipukizi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba kuaza ziara yake ya kikazi, akiwa na viongozi wa jumuiya hiyo,

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Dk.Edmund Mndolwa,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman Abdallah, alipokuwa katika ziara yake Kisiwani Pemba ya kikazi.
Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa, Edmund B.Mdolwa, akizunzungumza na baadhi ya Viongozi wa jumuiya hiyo wakati wa ziara yake ya kikazi Kisiwani Pemba.
Picha na Jamila Abdalla -Maelezo Pemba.
No comments:
Post a Comment