Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri.

 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua   Mkutano Mkuu wa Sita wa Maafisa  Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDOA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma, Machi 26, 2019.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDOA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo baada ya kufungua  Mkutano Mkuu wa Sita wa Maafisa Elimu  wa Mikoa na Halmashuri (REDOA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma, Machi 26, 2019. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, wa pili kulia ni Mwenyekiti wa REDOA, Germana Mung'aho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na Mwenyekiti wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri  (REDOA), German Mung'aho baada ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Sita wa REDOA kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma, Machi 26, 2019.  Wa pili kulia ni  Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Selemani Jafo na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi
, Machi 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.