Habari za Punde

Dua Maalum kwa Kuwaombea Viongozi Mashujaa Yafanyika leo Zanzibar

Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani Zanzibar Sheikh Ali Hemed Jabir (ALI ANI)kulia akiomba dua katika kaburi la Aliekuwa Rais wa Awamu ya Pili sheikh Aboud Jumbe Mwinyi katika Dua maalum ya kuwaombea mashujaa iliofanyika migombani Zanzibar.
 Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi akiongoza Viongozi wa Serikali ndugu na Jamaa katika Dua maalum ya kuwaombea Mashujaa ambapo imeanza kwa aliekuwa Rais wa Zanzibar  awamu ya Pili Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi hadi kufikia kilele chake siku ya  07/04/2019 Kisiwandui Zanzibar,
Baadhi ya waheshimiwa na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Dua maalum ya kuwaombea Mashujaa ambapo imeanza kwa aliekuwa Rais wa Zanzibar  awamu ya Pili Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi hadi kufikia kilele chake siku ya Mashujaa 07/04/2019 Kisiwandui Zanzibar, 
Baadhi ya waheshimiwa na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Dua maalum ya kuwaombea Mashujaa ambapo imeanza kwa aliekuwa Rais wa Zanzibar  awamu ya Pili Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi hadi kufikia kilele chake siku ya Mashujaa 07/04/2019 Kisiwandui Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliofika katika  Dua maalum ya kuwaombea Mashujaa iliofanyika Migombani kwa aliekuwa Rais wa awamu ya Pili Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi Zanzibar.
Katibu wa Mufti Sheikh Fadhil Soraga akitoa mawaidha kuhusiana na kuwaenzi Viongozi katika Dua maalum ya kuwaombea Mashujaa iliofanyika Migombani kwa aliekuwa Rais wa awamu ya Pili Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.