Kampuni ya mawasiliano ya Zantel ilikuwa miongoni mwa makampuni ya mawasiliano nchini ambayo yalishiriki katika maadhimisho ya miaka 10 ya UCSAF yaliyofanyika jijiji Dodoma hivi karibuni ambayo yalifungwa rasmi ya Waziri Mkuu ,Mh.Kassim Majaliwa.
Mkuu wa wa kitengo cha Teknolojia wa Zantel, John Sicilima akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu,Mh.Kassim Majaliwa wakati alipotembelea banda la maonyesho ya Zantel (kushoto) ni Afisa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Rukia Mtingwa.
Mkuu wa wa kitengo cha Teknolojia wa Zantel, John Sicilima akipokea cheti cha kushiriki kutoka kwa Mh.Waziri Mkuu,KassimMajaliwa ,kwa niaba ya kampuni
No comments:
Post a Comment