Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifika Kijichi nyumbani kwa Familia ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Marehemu Juma Ali Juma kuifariji Familia yake kufuatia msiba ya Jamaa yao mpendwa.
Balozi Seif akijumika pamoja na Viongozi na Wananchi mbali mbali katika kumuombea dua Marehemu Juma Ali Juma aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara aliyefariki Dunia katika Hospitali ya Rufaa Muhimbili Mjini Dar es salaam akipatia matibabu baada ya kupata ajali ya Gari.
Picha na – OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment