Habari za Punde

RAIS TSHISEKEDI WA DRC ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM, AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akipewa maelezo na  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya  mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya
Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya  mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.