Habari za Punde

Mwenge wa Uhuru Wawasili Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba Kuendfelea na Mbio Zake na Kuzindua Miradi ya Maendeleo.

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani , Issa Juma Ali, akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadidi Rashid, ili kuendelea na mbio zake baada ya kumalizika mbio zake katika Wilaya ya Mkoani Pemba.


Picha na Jamila Abdalla - Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.