Habari za Punde

Resi za Baiskeli katika Tamasha la tatu la Michezo kisiwani Pemba

 Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mamboyakale Chumu Kombo Khamis akizungumza na washiriki wa mashindano ya Baskeli mara baada walipomaliza mashindano hayo katika Kijiji cha Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba (kushoto) Afisa Mdhamin Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Khatibu Juma Mjaja.
 aibu Waziri wa Habari Utalii na Mamboyakale Chumu Kombo Khamis akimkabidhi Baskeli Kiongozi wa Timu ya Saiclin Club kutoka Wilaya ya Mjini Magharib Saleh Kijiba Saleh baada ya kushiriki katika Mashindano aya mbio za Baskeli Kisiwani Pemba.
 Washiriki wa Mashindano ya Baskeli kutoka Unguja na Pemba wakianza Mashindano hayo kutoka Mchangamdogo kuelekea Kijiji cha Micheweni katika Tamasha la Tatu la Michezo ya Utalii Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Baadhi ya Wananchi waliyofika katika Kijiji cha Micheweni kwa ajili ya kuwasherehekea washiriki wa Mashindano ya mbio za Baskeli  katika Tamasha la la Tatu la Michezo ya Utalii Kisiwani Pemba.
                     Picha na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.