Habari za Punde

Abdallah Shaibu 'Ninja' atua Marekani kujiunga na L A Galaxy
Aliyekuwa beki wa Yanga SC, Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa ameshika jezi ya klabu ya LA Galaxy Uwanja wa Dignity Health Sports Park Carson mjini California baada ya kuwasili kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo inayocheza Ligi Kuu ya Marekani  

Akisajiliwa na timu hiyo, Shaibu ataungana na mshambuliaji wa zamani wa Barcelona na AC Milan, Inter Milan, Zlatan Ibrahimovic

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.